KATIBU Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Saleh Mohammed Jidawi (kushoto) akitia saini na Mwenyekiti wa Taasisi ya (HIPZ) Dk.Ruaraidh Macdonagh, Makubaliano ya Mradi wa Kuimarisha Huduma ya Afya Zanzibar kupitia taasisi hiyo ya (HIPZ) kutoa huduma katika hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja, hafla hiyo imefanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja.
Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ Kati ya Malindi na JKU Mchezo
Uliyofanyika Uwanja wa Maom Zedung Timu hizi Zimetoka Sare ya Bao 1-1
-
Wachezaji wa Timu ya JKU na Malindi wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa
Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ,mchezo uliyofayika katika Uwanja wa Mao Zedung
Jijin...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment