Mtaalamu wa Kitengo cha Koo, Pua na Masikio Dk. Mwanana Kassim.akitowa elimu ya matatizo ya maradhi hayo kwa Wanafunzi wa Madrasa za Muembemakumbi Mjini Unguja.mafunzo hayo yamefanyika katika moja ya madrasa hizo.
Watoto wa Madrasa katika za Muembemakumbi wa kimsikiliza Mlaalamu wa maradhi ya koo, pua na Masikio Mwanana Kassim. akitowa elimu hiyo kwa watoto hao katika ukumbi wa madrasa yao Masumbani.jinsi ya kujikinga na kupata huduma ya maradhi hayo na kufika katika kituo cha afya klwa matibabu.
No comments:
Post a Comment