Habari za Punde

Dk Shein Akizungumza na Watendaji Wizara ya Kilimo na Maliasili


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Kilimo na Maliasili,katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Wizara hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar jana,(kushoto) Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad. [ Picha na Ramadhan Othman,IKULU.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi,katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Wizara hiyo huko Ikulu Mjini Zanzibar jana, [ Picha na Ramadhan Othman,IKULU.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.