Habari za Punde

DK Shein Awapisha Naibu Katibu Mkuu Katiba na Sheria, Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini B.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimuapisha Mdungi Makame Mdungi kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, hafla ya kiapo ilifanyika Ikulu Mjini  Zanzibar 17-5-2012 jana.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimuapisha Khamis Jabir Makame,kuwa Mkuu wa Wilaya ya kaskazini B Unguja, katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar 17-5-2012 jana.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}

1 comment:

  1. Hongera Dr. shein kwa uteuzi makini!
    Makame, aneleweka na walio wengi kwa kua na fifa
    zifuatazo;

    Msomi,zalendo, mwenye msimamo wa wastani na mwenye anejituma.

    Ama kwa upande wa wakuu wa mikoa, wilaya na masheha siwezi kueleza lolote kwa vile sijui ni sifa gani zinazohitajika.

    Hebu naomba kwa anaejua anisaide!

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.