Habari za Punde

Kampuni ya Simu ya ZANTEL Watambulisha Mtandao wao wa 3G

 Mfanyakazi wa  ZANTEL, Mohd Issa akiutambulisha Mtanda wao Mpya wa Internet 3G katika viwanja vya Michezani Kisonge, kwa Wateja  waliofika katika viwanja hivyo.
Mfanyakazi wa Zantel akitowa huduma ya kuwaungia mtandao mpya wa 3G. katika viwanja vya kisonge Michezani.
Wananchi wakipata maelezo ya matumizi ya mtandao mpya wa Internet wa 3G, kutoka kwa Wafanyakazi wa Zantel, walipokuwa wakiutambulisha mtandao huo kwa wananchi  katika maeneo ya Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.