Wachezaji wa timu ya Chipukizi na Viongozi wa timu hawaamini macho yao matokeo ya mchezo huo baada ya kufungwa na timu ya Zimamoto kwa mabao 3-1, mchezo uliofanyika uwanja wa Mao.
Mchezaji wa timu ya Zimamoto Abdalla Mkubwa akikokota mpira galini kwake na huku mchezaji wa timu ya Chipukizi Nassor Omar, akijaribu kumzuiya, katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar, timu ya Zimamoto imeshinda 3--1
No comments:
Post a Comment