Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar Super Falcon na Miembeni United.

 Mchezaji wa timu ya Super Falcon Salum Abdalla, akikata mbuga ya wachezaji wa timu ya Miembeni United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan, timu ya Super Falcon imeshinda 3--0.  
Golikipa wa timu ya Miembeni United Halimu Mbwana, akiokoa moja ya hatari golini kwake na mchezaji wa timu ya Supere Falcon Salum Said akimkimbilia, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar uliofanyika Uwanja w Amaan, timu ya Super Falcon imeshinda 3--0.   


 Viongozi wa timu ya Miembeni United wapipigwa na butwaa baada ya kurambishwa  mabao 3 kwa bila na timu ya Super Falcon.
 Mchezaji wa timu ya Miembeni United Omar Abdalla, akiruka juu kupisha kihunzi cha beki wa timu ya Super Falcon Ali Suleiman, katika mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar uliofanyika uwanja wa Amaan, timu ya Super Falcon imeshinda 3--0  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.