Baadhi ya Wanakamati wa An-noor Community Centre Leicester - UK
Picha juu ni baadhi ya Waumini walioitikia wito kuhudhuria Chakula cha jioni katika kutafuta pesa kwa ajili ya kununua jengo la Jumuiya
Msaidizi Meya wa Jiji la Leicester Abdul Osman akitoa nasaha zake wakati wa chakula cha jioni kuhimiza waislamu kuchangia katika amali za kheri kwa faida zao wenyewe.
Ghafla hii isingelinoga bila ya kuwepo nguli wa upishi wa Biriani na mahanjumati mengine Leicester na Uingereza kwa ujumla, Maalim Khamis Kulia na Maalim Zubeir Pongwa wakati wakiwaandalia waliohudhuria ghafla hii.
GF TRUCKS & EQUIPMENT YAIBUKA MSHINDI WA JUMLA MAONESHO YA BIASHARA YA
KIMATAIFA SABASABA 2025
-
Kampuni ya Gf Trucks & Equipment Ltd imeibuka mshindi wa jumla wa maonyesho
ya biashara ya kimataifa 2025 yanayoendelea jijini Dar es salaam.
Kupitia ki...
35 minutes ago
No comments:
Post a Comment