Waumini wa Dini ya Kiislam wakiwa katika sala ya kuuombea mwili wa marehemu Hamad Hijja Hamad, katika msikiti wa Jitima Mwankwerekwe, wakiombe dua baada ya kumaliz kuusalia,
Wananchi wakiwa wamebeba jeneza la Marehemu Hamad Hija Hamad, wakielekea makaburini kwa ajili ya kuzaka.
Wananchi na Waandishi wa Habari wakishiriki katika mazishi ya Mpiga Picha wa Idara ya Habari Maelezo Hamad Hijja Hamad katika makaburi ya Mwanakwerekwe , mchana huu.
No comments:
Post a Comment