Habari za Punde

Waziri wa Biashara Mhe. Nassor Mazrui afanya Ziara ya Hafla madukani.


 Mfanya biashara katika maeneo ya kwahajitumbo akimuonnyesha Waziri wa Biashara Mhe. Nassor Mazrui mzani anaotumia kupimia bidhaa dukani kwake, wakati wa ziara ya Mhe waziri ya hafla kuangalia bei za vitu mbalimbali madukani.
Bei ya mchele aina mbalimbali ikiwa imeweka katika moja duka katika maeneo ya Kwahajitumbo kama  zinavyosomeka,  

4 comments:

  1. heee kumbe bora huku ulaya mchele wa Basmati rahisi kuliko Zanzibar lol hii kali kiasi chao waZanzibari waseme hawataki muungano...nchi za ulaya bei ya basmati kwa kilo ni euro 1.5 sawa na shilingi 1900tsh

    HATUTAKI MUUNGANO WA ZANZIBARI....HIIII HAMFAHAMU LUGHA AU VIPI?

    ReplyDelete
  2. sasa wanaosema znz inategemea v2 kutoka bara waangalie hapo bei ya mchele wa mbea 2800 au 2600 na je basmat kiac gani na hyo mengne je.ss hapo tuseme tunafaidika au tunaumizana.maana walokuwepo pemben mwa znz bei tunaiyona.jamaniii huu muungano hauna faida ya waznz.tutaambiwa kuna waznz wangapi wapo bara wanaishi.jibu ni baina ya turkey na ujeruman.ujerumani kuna waturuk milion 3.na wote wanaishi kwa vibali 2.hakuna muungano bali kuna ushirikiano mzuri.na wengne wanachukua uraia wa huko mfano ndo tunaona wachezaj mpira wale kina mesut ozil

    ReplyDelete
  3. Jamani tuacheni porojo, maisha ni zaidi ya mchele na muungano.

    Hebu wasomi na wadau wengine wa uchumi kaeni chini na serikali kujadili matatizo ya uchumi ya Z'bar!

    ReplyDelete
  4. Porojo wameanza viongozi wa serikali yako waliohojiwa siku ya muungano na kutoa hizo hoja za porojo.wao ndio walokuwa wansema itachekesha mchele na tungule tugiagiza nje.ama ukitaka hoja za maana katafute mhadhara wa uamsho ulotolewa na Dk Mohammed Hafidh.yeye ni mtaalamu wa uchumi je anazungumzia vp kuhusu suala hili.halafu ndio utajua.na serikali yako haitak kukukosolewa.hebu na ww wacha porojo.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.