Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume, akitowa nasaha zake kwa Wanachama wa CCM tawi la Mbweni, katika uchanguzi wa kuwachaguwa Mwenyekiti na Katibu wa tawi hilo na Wajumbe wake katika uchaguzi uliofanyika tawini hapo.
Wanachama wa CCM tawi la mbweni wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaaf Dk. Amani Abeid Karume pia ni mjumbe wa tawi hilo, akitowa nasaha zake kwa wanachama wa tawi hilo katika uchanguzi wa kumchangua Mwenyekiti wa tawi na Katibu
Wanachama wa CCM tawi la mbweni wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaaf Dk. Amani Abeid Karume pia ni mjumbe wa tawi hilo, akitowa nasaha zake kwa wanachama wa tawi hilo katika uchanguzi wa kumchangua Mwenyekiti wa tawi na Katibu na Wajumbe.
Mgombea nafasi ya Uwenyekiti wa tawi la CCM mbweni Ali Zuberi Juma, akijieleza mbele ya wanachama wa CCM wa tawi la mbweni katika uchanguzi wa tawi hilo uliofanyika tawini hapo.
Mgombea nafasi ya Uwenyekiti wa tawi la CCM Mbweni, Jaffar Mussa Ali akijieleza kwa wanachama wa tawi hilo, ili kupata ridhaa yao.
Mwanachama wa CCM tawi la Mbweni akipiga kura yake kumchagua Mwenyekiti wa Tawi hilo, uchaguzi huo umefanyika tawini hapo.
No comments:
Post a Comment