Ofisa wa PBZ Seif Suleiman na Mratibu wa Bonanza la Zanzibar Media Mohammed Othman wakionesha fulana hizo kwa waandishi wa habari ambazo zitatumika kuitangaza benki katika bonanza hilo ikiwa ni mdhamini wa Bonanza hilo linalotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Ofisa Muandamizi Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ltd. (PBZ) Seif Suleiman kulia akimkabidhi Fulana kwa ajili ya Bonaza la Waandishi wa Habari Zanzibar Mratibu wa Bonanza hilo Mohammed Othman, makabidhiano hayo yamefanyika Ofisi za PBZ Darajani.
No comments:
Post a Comment