WALIOPOTEZA KITAMBULISHO KUPIGA KURA NA NIDA
-
Na, Seif Mangwangi, Arusha
Tume huru ya uchaguzi katika Jimbo la Arusha mjini, imewataka wananchi
waliopoteza kitambulisho cha mpiga kura kufika kwenye ...
1 hour ago
Gizenga street hurumzi.
ReplyDeleteHii sio Hurumzi. Hapa ni Mkunazini kutokea kwa Batash kwendea Majestic upande wa kushoto kuna msikiti mbele(Kwa Shariff) na kulia enzi hizo kulikuwa na hospitali ya meno na mbele zaidi nakumbuka kulikuwa na hoteli ya Flamingo na duka la Budda la vifaa vya magari. Sina hakika kuwa mpaka leo hali ni hiyo. Nina mwaka wa tisa sijakanyaga Zanzibar. Hivi naelezea naona kama natembea vichochoroni.
ReplyDeleteThanks Mapara.