MGOMBEA URAIS CCM DK.SAMIA AWAPA TABASAMU WAKULIMA WA MAHINDI RUKWA
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV- Rukwa
MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha
Mapinduzi(CCM) Dk.Samia Suluhu Hassan amewaa...
1 hour ago
Gizenga street hurumzi.
ReplyDeleteHii sio Hurumzi. Hapa ni Mkunazini kutokea kwa Batash kwendea Majestic upande wa kushoto kuna msikiti mbele(Kwa Shariff) na kulia enzi hizo kulikuwa na hospitali ya meno na mbele zaidi nakumbuka kulikuwa na hoteli ya Flamingo na duka la Budda la vifaa vya magari. Sina hakika kuwa mpaka leo hali ni hiyo. Nina mwaka wa tisa sijakanyaga Zanzibar. Hivi naelezea naona kama natembea vichochoroni.
ReplyDeleteThanks Mapara.