Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Juma Shamihuna, akimsikiliza Profesa Idrisa Rai, alipotembelea majengo mapya ya Chuo hicho yanayojengwa huko Tunguu Zanzibar. alipofanya ziara ya kutembelea maeneo ya Chuo hicho ikiwa ni ziara ya Kikazi.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Juma Shamuhuna, akitembelea Kampasi ya Chuo Kikuu cha SUZA ilioko Nkurumah Beit Ras Mjini Zanzibar, akiwa na Uongozi wa SUZA.
Waziri wa Elimu na Mafunzo Amali Mhe. Ali Juma Shamuhuna, akiwa katika moja ya bweni la kulala Wanafunzi katika Kampasi ya Nkurumah, akiwa katika ziara ya kutembelea majengo ya chuo hicho.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Ali Juma Shamuhuna, akikaguwa ujenzi wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA Tunguu.
No comments:
Post a Comment