Habari za Punde

Dk. Bilal Akutana na Balozi wa Canada Ofisini Kwake

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mhe. Robert J. Orr, aliyefika Ofisini kwa Makamu Asubuhi ya leo Juni 06, 2012 kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini Tanzania. (Picha na Muhidin  Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na kumkaribisha Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mhe. Robert J. Orr, aliyefika Ofisini kwa Makamu Asubuhi ya leo Juni 06, 2012 kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake nchini.( Picha na Muhidin  Sufiani-OMR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.