Wananchi wakielezea jinsi ajali hiyo ilivyotokea kati ya gari ya abiria njia ya Fuoni na gari ndogo, Mashududa wa ajali hiyo wameeleza kuwa mwenya daladala alikuwa akifukuzana na Gari aina ya Toyota wakitokea mjini kuelekea michezani na kufika katika maeneo hayo dereva wa daladala ilimshida katika maeneo hayo kufunga mwendo mkali.Katika hepuhepu hizo ndio akaingia saite hiyo na kumgonga mwenye Suzuki , watu waliokuwenwe katika daladala wamepata majaraha na kukimbizwa hospitali ya Mnazi mmoja.
Wananchi wakiangalia magari yaliopata ajali katika barabara ya michezani round about.
Gari ya daladala njia ya Fuoni ikiwa imepanda vikuta vya bustani pembezoni mwa barabara
Moja ya gari iliopata ajali katika barabara ya michezani aina Suzuki yenye namba ya usajili Z 695 AZ, likionekana picha sehemu iliogongwa, ambayo ilikuwa ikiendeshwa na dereva Mwanake, ikiwa imegongwa na gari ya abiria njia ya fuono ikitokea mjini na kuigia saiti sio yake na kuligonga gari hilo. likitokea Mlandege.
No comments:
Post a Comment