Habari za Punde

Bongo Star Seach in Zanzibar

Zaidi ya vijana 400 kutoka Zanzibar waliojiandikisha kushiriki kwenye mashindano ya Bongo Star search yanayofanyika mjini Zanzibar kwenye uwanja wa Ngomekongwe mjini Zanzibar jana chini ya udhamini wa Epiq Nation.

Mpiga gitaa akionyesha umahiri wake mbele ya majaji, Master J, Madame Ritha na Bi Salama.

Kijana akiimba wimbowa taarabu na kuwakuna vilivyo majaji wote watatu.

Majaji Master J, Madame Ritha na Salama wakifuatilia kwa makini wakati wa kuwachuja wasanii hao.

Master J na Madame Ritha wakitoa maoni yao juu ya mashindano ayo jana. Picha zote na Martin Kabemba.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.