Habari za Punde

Dk Shein Azungumza na Watendaji Idara Maalum

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Ofisi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Idara Maalum katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Ofisi za Idara hizo, katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar

Baadhi ya watendaji wa Ofisi za Idara Maalum katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,wakiwa katika mkutano chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,mkutano huo unahusu masuala mbali mbali ya kiutendaji, katika idara hizo ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.