Habari za Punde

Ligi ya Zanzibar Netiboli JKU 56 na Jeshi 15

Mchezaji wa timu ya Jeshi Rose Benidicta (GS) akiwa na mpira golini mwa timu ya JKU akijiandaa kufunga katika mchezo wa ligi ya Zanzibar, JKU imeshinda 58 - 15 
Mchezaji wa timu ya Jeshi Zaituni Shabani (c) akidaka mpira mbele ya mlizi wa timu ya JKU Ashura Ramadhani (WD)   
Mlizi wa timu ya JKU Hamida Sunday (GD) akidaka mpira moja ya hatari golini kwake katika mchezo  wa ligi ya Zanzibar  uaofanyika uwanja wa gymkhana, timu ya JKU imeshinda kwa mabao 58 - 15 




2 comments:

  1. Dada zetu wanatakiwa wajitokeze kwa wingi ili kuona wechi za netball na kuwapa moyo wenzao.

    ReplyDelete
  2. Kama ulivyosema dada zetu wajitokeze inabidi na Makaka pia maana michezo ni kila mtu kupeana moyo.Kama soccer tu wakina dada wengi wanapenda. Huu mchezo mie niliucheza tena ni zoezi zuri kwa mwili wa binadamu.Skuli inabidi zitie moyo wanafunzi wajiunge na sports mbalimbali.Ahsante.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.