Habari za Punde

Mandhari ya Round About Michenzani

 Maji yakiruka wakati wa mchana. Kuna Mdau aliwahi kuhoji iweje haya yaruke wakati kwenye majumba hayatoki?
 Maji yakiruka wakati wa usiku. Enzi hizo yalikuwa yakiitwa maji ya dhahabu. Yamerudishwa tena baada ya miaka kadhaa kupita.
Je picha hii imechukuliwa kutoka Jumba No Ngapi na Mpiga picha alikuwa ghorofa ya ngapi??

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.