Habari za Punde

Michuano ya Ligi ya Zanzibar Netiboli Jeshi na Mafunzo, Mafunzo imeshinda kwa 52 -- 14

 
 Mchezaji wa timu ya Jeshi Mwanajuma John(GD) akiwa na mpira golini kwa timu ya Mafunzo na mlizi wa Mafunzo Siwa Juma(GK) akijiandaa kumzuiya katika mchezo wa ligi ya Netiboli Zanzibar inayofanyika uwanja wa Gymkhana, timu ya Mafunzo imeshinda 52 -- 13.

  Mchezaji wa timu ya Jeshi Rehema Hussein (GS) akidaka mpira na kumpoteza mlizi wa timu ya Mafunzi Siwa Juma.(GK)
 Wapenzi wa mchezo wa Netiboli Zanzibar wakifuatlia mchezo kati ya Jeshi na Mafunzo.
 Mpata mpatae  golini kwa timu ya Mafunzo hiyooo 
Mchezaji wa timu ya Mafunzo Iren Moses,(GA) akidaka mpira huku mlinzi wa timu ya Jeshi Mwanajuma John (GD) akijiandaa kumzuiya.

1 comment:

  1. Asante sana nilikuwa mchezaji wa Netball nashukuru wenzangu bado wanaendeleza. Ahsante sana kwa kutuonyesha sports mbali mbali.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.