Habari za Punde

Mtawi la Mti likiwa likining'inia katika Nguzo ya Umeme

Tawi la mtii likiwa katika moja ya nguzo ya umeme likiwa limezongwa na waya kwa muda mrefu sasa bila ya kuondoshwa na linatishia watembea kwa miguu wanaopita katika barabara hiyo ya jirani  hospitali ya Muembeladu. wahusika bado kuchukuwa hatua za kuliondosha wakati umeme ukitumika.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.