Habari za Punde

Mambo ya Embe Keri hayooo...

Mjasiriamali akitengeneza embe keri kwa ajili ya kuuza kwa wanafunzi wa skuli ya wakati wa mapumziko. Mdau unakumbuka enzi zenu kwa mlo kama huu na bado unapatika huku kwetu Zenj kama kazi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.