Mlinzi wa timu ya Tukoimara Tatu Said (GD) akimzuiya mchezaji wa timu ya Zimamoto Asma Khamis(GA) katika mchezo wa ligi ya Netiboli Zanzibar inayofanyika katika uwanja wa gymkhana, timu ya Zimamoto imeshinda 65 - 20.
Mchezaji wa timu ya Tukoimara Maryam Cosmas (GA) akidaka mpira na kujiandaa kutowa pasi.
Mchezaji wa timu ya Zimamoto Mwanajuma Hassan (WA) mpira huku mchezaji wa timu ya Tukoimara Salma Shabani (C)
Echo ndivyo inavyonekana akisema mchezaji wa timu ya Tukoimara Hawa Abdalla (GS) baada ya mpira kumpita akiwa golini kwa timu ya Zimamoto.huyku mlizi wa timu ya Zimamoto Hilda Abdalla (GK) akiwa tayari kumzuiya.
No comments:
Post a Comment