Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Nassor Salim, akimkabidhi Mwenyekiti wa Maskani ya Wazee wa Muembeladu Taxi Stand Iddi Ali, ikiwa ni mchango wake kuifanyia ukarabati maskani hiyo ambayo imetiwa moto na watu wasiojulikana wakati wa vurugu zilizotokea wiki iliopita.
Mwenyekiti wa Tawi la CCM Kwahajitumbo Baguani Mshamba, akimkabidhi Mwenyekiti wa Maskani ya Muembeladu Taxi Stand,Iddi Ali shilingi laki moja ikiwa mchango wa ujenzi wa maskani hiyo.
huyo falaa alievaa shati la brown na white mwenye kipara bado tunamtafuta sisi vijana wa kizanzibari na tukimpata atajuta kuzaliwa au akitaka usalama wake atoke katika nchi yetu haraka sana na asirudi tena katika zanzibar hii kama John Okello vile
ReplyDeleteHivi wewe Uwamsho, unaetishia watu maisha, mwenzetu shamba kwenu wapi?
ReplyDeleteMnapo tumia kauli chafu kama hizi dhidi ya watu msiseme vijana wa kizanzibari semeni 'UWAMSHO'.
Mimi nasema huu mchezo mnaoufanya, msione kwamba hamchukuliwi hatua, 'arubaini' yenu itafika tu, na sisi tupo na Z'bar inatuuma kuliko nyinyi lakini si kwa upuuzi kama huo!
Yaani 'comments' zenu zote zinaashiria sio tu kuhoji muungano bali pia mapinduzi, na kama sio hivyo JOHN OKELLO anahusika vipi hapa?
Sisi tunasema 'mfalme' harudi tena hapa..kumbe tulikua tunaunga mkono kitu tusichokijua, wenzetu malengo yenu mengine kabisa!...ahaaaaa?
@ADHUBANY
ReplyDeleteMIMI NATOKA PWANI MCHANGANI MZANZIBARI KINDAKI NDAKI, WEWE UNATOKA WAPI?
UMESAHAU HUYO FALAA UNAEMTETEA ALIPOPANDA JUKWAANI NA UVCCM KULE KILIMAHEWA AKAWA ANAHUTUBIA UTOMBO WAKE KWA WATU KUMI NA TANO NA WATOTO WADOGO PALE...UMESAHAU ALIVYOTUKANA MASHEIKH WETU WA ZANZIBAR NA KUMZALILISHA KIONGOZI WETU SEIF SHARIF...JAMAA ALIZANIA HAKUNA MTU ANAEMRIKODI DUUH MUMELALA SANA NYIE ILE VIDEO TUNAYO NA TUNAMPELEKEA SHEIN VERY SOON....
HII NCHI YA KIISLAM BWANA NA MSIDHANI KAMA MUTATUGOMBANISHA NA NDUGU ZETU WA KIPEMBA KWA UJANJA WENU WA KUTAKA KUITAWALA NCHI YETU HALAFU SISI NDIO TUWE WAGENI NYIE WATANGANYIKA NDIO MUTUONGOZE KATIKA NCHI YETU KITU HICHO HAKITOWEZEKANA KABISA LABDA LILE JESHI LENU LA KITANGANYIKA WATUUWE SOTE KUSIWEPO NA MSWAHILI HATA MMOJA KATIKA VISIWA HIVI...NA MWENYEZI MUNGU ATATUPA NGUVU ZAIDI YA KUIKOMBOA NCHI YETU TOKA KWA MAJAMBAZI....ENDELEA CHINI HAPO>>>>>>>>>
MBINU ZA WAKRIST0 DHIDI YA WAISLAM WA ZANZIBAR -HUU NI WARAKA UMET0KA TANGANYIKA KUPELEKWA KWA WAKRIST0 WA ZANZIBAR!MUST READ THIS
WARAKA MAALUM KWA WAKRISTO ZANZIBAR-June 24, 2009
Wapendwa katika Bwana
Ndugu Wakristo umefika wakati tumeonelea kuwa ipo haja ya kuwaelezeni machache ili kuona maendeleo yetu na mafanikio tuliokwisha yapata hapa Zanzibar, yanaendelezwa na hayarudi nyuma kwa namna yoyote. Hapana shaka kuwa munaelewa kuwa idadi yetu hadi sasa bado ni ndogo sana na wengi wetu tungali katika kiwango na hadhi ya wahamiaji na sio Wazanzibari kama wanavyosema wenyewe.
MAFANIKIO YETU:YA0
Kabla kugusia yale ambayo tunahisi ndio lengo la waraka huu hapana budi kuwatajieni mambo machache ambayo tumefanikiwa kuyapata hadi sasa. Pamoja na jitihada zetu za muda mrefu bado tunapaswa tumsifu Bwana kwa msaada wake mkubwa kwetu dhidi ya maadui zetu. Tunaamini kuwa kupitia nguvu za Roho Mtakatifu, Bwana atatupa ushindi na mafanikio makuu zaidi ya haya na atawafumba macho maadui zetu wazidi kulala ili mipango yetu yote ya kuibadilisha Zanzibar kidemografia ifanikiwe katika kipindi kifupi kijacho. Mafanikio yetu yameenea katika kila upande - katika uchumi, siasa, huduma za serikali, umiliki wa ardhi, ujenzi, elimu, n.k. Ili kupata picha kamili ni vyema tuorodheshe kwa ufupi mafanikio hayo:
1. Nafasi yetu kwa upande wa elimu imekua ya kuridhisha kupitia nafasi za serikali. Hivi sasa ni rahisi na limekua jambo la kawaida katika kila matangazo ya wito wa masomo kusikia majina ya Wakristo.
2. Sambamba na matangazo ya elimu vijana wetu wamekuwa wanapata nafasi nyingi za ajira katika Serikali ya Zanzibar. Hali ya kutoelewana kisiasa baina ya Wazanzibari imetoa mwanya kwetu kuingiza vijana wa Kikristo wenye asili ya bara kwa wingi kwani wamekuwa wanaaminika zaidi kuliko vijana wa Zanzibar.
3. Tumepata fursa ya kutumia Taasisi za serikali kwa uendeshaji wa ibada zetu hali hii imefanya tuzidi kukubaliwa na Waislamu na kuvumiliwa na inaweza kutupa nafasi ya kuwavuta katika NENO LA BWANA
5. Kwa upande wa mashamba (vijijini) tumepata wasaa mzuri wa kununua ardhi toka kwa Waislamu ambao hadi sasa bado hawajashtuka. Ardhi hizi zimetuwezesha kujenga makanisa kadhaa mabayo hapo awali hayakuwepo.
6. Idadi ya skuli na vituo vyetu (ambavyo licha ya picha ya juu kuwa haviendeshwi kwa misingi ya Kikristo lakini kiukweli ni vituo vya kimisionari) vimeongezeka kwa hali ya kuridhisha. Skuli hizi nikuanzia kwa watoto wadogo hadi vituo kama hichi kilichopo Mji Mkongwe (Stone Town Youth Centre) na zinafanya kazi vizuri katika kupandikiza mila za Kikristo.
7. Sera ziliopo hivi sasa kwa upande wa uingiaji na utokaji Zanzibar imetusaidia sana katika uingiaji wetu (Wakristo) kutoka Bara na hivyo kusaidia kufuta ile imani ya kuwa Zanzibar ni kisiwa cha Waislamu na eti Wazanzibari kwa zaidi ya aslimia 99 ni Waislamu
INAENDELEA!
Tatizo lenu UWAMSHO hamueleweki mnataka nini na hamtaki nini!
ReplyDeleteMara mnalalamikia UKRISTO-Z'bar, lkn. mkiambiwa mnahusika na uvunjaji wa Makanisa, viongozi wenu wanakanusha hilo, huku wakisema kwamba dini hizi mbili zimekuwepo visiwani kwa muda mrefu na hazijawahi hua na uhasama.
Mara mnalalamikia mapinduzi, mara Muungano mara CCM, mara watu wa bara.
Wakati mwingine hata kuwaona wazanzibari wasio na asili ya kiarabu kwamba ni wageni..sasa tutafika kweli?
Pili, mnadai kwamba Z'bar ni nchi ya kiislamu sijui hii mmeitoa wapi manake siioni ktk katiba yetu na mm najua kuna tofauti kati ya nchi ya kiislamu na nchi ya waislamu.
Tatu, Ukristo umeanza Z'bar zaidi ya miaka 100 iliyopita na 'population' yao imendelea kuongezeka tokea wakati huo, sasa inakuaje kila siku mnasema sisi ni asilimia 99, hizi takwimu mnazitoa wapi?
Nne, nyinyi mnajifanya ni waislamu sana, kumbe mnakwenda kinyume hata na islamu wenyewe: mfano, Mtume(SAW) aliishi na watu wasiokua waislamu lkn. hakuwahi kuwatishia au kuwavunjia majumba yao ya ibada.
Pia wale mnaowatishia kuwafukuza Z'bar miongoni mwao ni waislamu wakati tunaambiwa 'al-muslim akhuu muslim' na pia 'inna mal-muuminuna ikhwaa'
Tano, Sisi tuliojitolea kutetea misingi ya dini yetu, mila na silka zetu za Z'bar UWAMSHO mnatwambia ni wageni. Wewe mwenzangu unasema unatoka P/Mchangani jambo mbalo bado nna wasi wasi nalo sasa Mimi mama yangu natoka Pemba(Ole Jonwe)na Baba yangu anatoka Bumbwini(MABUNI) lkn. siungi mkono UWAMSHO!
Hitimisho: Kuhusu suala la uislamu mimi linaniuma sana lkn. nadhani kwa Z'bar bado hautishiwi kama mnavyoeleza.
Kuhusu wazanzibari kufitinishwa ni kweli lkn. na sisi wenyewe hatuna mshikamano wa kutosha ndio mana watu wanatumia hii nafasi.
Ukitaka kuthibitisha hili subiri ukaribie uchaguzi wa 2015, utatamni kukimbilia huko bara!
Huyo Bwana uliyemtaja kama mna ushahidi na mnayosema msitishie kumfukuza apelekwe kwenye vyombo vya sheria.. mnafkuza wangapi?