Kuna Viwanja viwili vya kujenga nyumba na fensi urefu ni 70 fts na upana ni 60fts vipo Tunguu vimekamatana na ukuta wa jengo jipya la Zanzibar University.
Utaweza kuwekeza kujenga kukaa mwenyewe au kuwekeza kwa kuwakodisha wanafunzi kwani Chuo Kikuuu karibuni kitafunguliwa Campus ya Tunguu.
Viwanja vyote vina hati milki kamili original toka ardhi na hupitii kwa dalali unahusika na mwenyewe moja kwa moja.
Kama uko interested au unahitajia maelezo zaidi wasiliana na
Umar Ahmad 0773 823825
Mimi nipo interested na kimoja lkn. uhakika wa kubadilisha hati ukoje?
ReplyDeleteNimeskia kuna ugumu kubadilisha hati Bodi inayohusika na mambo hayo haijaundwa.
Na nilijaribu kucheki na mtu wa benki akanambia siwezi kupata mkopo mpaka hati iwe na jina langu.
Naomba nisaidie majibu tuwasiliane!
TUDOKEZE NA BEI ILI TUJIPANGE.
ReplyDeleteMambo ya kwetu bana!..namba aliyotoa haipatikani.
ReplyDeletenasikia tunguu wanavunjiwa ni tunguu ipi io naomba kujua
ReplyDeleteeti ni tunguu ipi watu wanavunjiwa
ReplyDelete