Habari za Punde

Wananchi Wakiwa Nje ya Ofisi ya Mambomsige iliohamishiwa Benki ya Zamani ya PBZ

 Wananchi wakiwa nje ya jengo la ofisi wakisubiri kupatiwa Vyeti hivyo.

Mwananchi Juma Mcha wa Matemwe akizungumza na Waandishi wa habari nje ya Ofisi hizo jinsi  hali ya ucheleweshaji wa ckupatikana kwa vyeti vya kuzaliwa na huchukuwa muda mrefu hadi kupata cheti hicho na kusema yeye toka mwaka jana bado hakupata cheti cha mtoto wake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.