Habari za Punde

Balozi Seif Azungumza na Waandishi wa Habari - Kuzama kwa Mv Skagit


Baadhi ya Waandishi wa Habari waliofika katika Mkutano wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi kuhusiana na Kutoa taarifa ya Kuzama kwa Meli ya Skagit huko katika Ukumbi wa Baraza la wawakilishi la Zamani Kikwajuni Zanzibar.

Mwandishi wa Habari wa Gaazeti la Habari leo Khatib Suleiman akiuliza maswali kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Bolozi Seif Ali Idi hayupo pichani katika Mkutano wake na waandishi hao kuhusiana na Kutoa taarifa ya Kuzama kwa Meli ya Skagit na hatua zilizochukuliwa na Serikali huko katika Ukumbi wa Baraza la wawakilishi la Zamani Kikwajuni Zanzibar.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari hawapo pichani kuhusiana na Kuzama kwa Meli ya Skagit na hatua Zilizochukuliwa na Serikali huko katika Ukumbi wa Baraza la wawakilishi la Zamani Kikwajuni Zanzibar.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akifafanua jambo katika Mkutano na Waandishi wa Habari kuhusiana na hatua Zilizochukuliwa na Serikali baada ya kuzama kwa Meli ya Skagit huko katika Ukumbi wa Baraza la wawakilishi la Zamani Kikwajuni Zanzibar.

 PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.