Habari za Punde

Kocha Mkuu wa Timu ya Yanga akiingia Uwanja wa Taifa

Kocha Mkuu wa timu ya Yanga Afrika, kiwa n Kocha Msaidizi Minziro na Kiongozi wa Yanga wakiingia uwanja wa Taifa kuangalia mchezo wa Fainali kati ya timu ya Azam na Simba kujionea jinsi timu hizo zinavyocheza ili kuusoma michezo yao.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.