Habari za Punde

Maafa ya Meli - Update



Taarifa tulizozipata ni kwamba tayari maiti 24 zimeshapatikana na waliookolewa wapo hai ni 145. Meli ilikuwa na wafanyakazi tisa.


Tutawajuulisha zaidi kila tukipata tarifa

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.