Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akipokeaCheki ya Shilingi Milioni Tano kutoka kwa Meneja Uhusiano wa Mfuko wa PPF Tanzania Lulu Mengele, kwa ajili ya Watu waliopata ajali ya kuzama kwa Meli ya Skagit, makabidhiano hayo yamefanyika katika Ofisi ya Makamu Baraza la Wawakilishi Chukwani
Waandishi wanaogombea ubunge, udiwani wapigwa pini, watakiwa kujiondoa
vyumba vya habari
-
Na Seif Mangwangi, Arusha
KUELEKEA Uchaguzi Mkuu wa madiwani, wabunge na Rais Oktoba mwaka huu 2025,
Baraza la Habari Tanzania (MCT), limetoa mwongozo kwa ...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment