Habari za Punde

Michango Baraza la Wawakilishi leo Asubuhi




 Mwakilishi wa Kuteulia Ali Mzee Ali, akichangia hutuba ya Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria na kutowa historia ya Zanzibar wakati akichangia hutuba hiyo na kusoma baadhi ya Ripoti za Serekali kuhusu Muungano. 
 Mwakilishi wa Jimbo la Chakechake Omar Ali Shehe, akichangia bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria, wakati wa Kikao cha asubuhi kikiendelera na michango ya wajumbe.    
 Wakuu wa Idara za Sheria wakifuatilia mijadala ya michango iliokuwa ikitolewa na Wajumbe wa baraza wakati wakichangia Wizara hiyo katika kikao cha asubuhi kikiendelea.  
 Wafanyakazi wa Idara za Wizara ya Katiba na Sheria wakifuatilia michango ya Wizara yao wakiti Wajumbe wakichangia.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Mifugo, UtaliiUwezeshaji na Habari Asha Bakari, akizungumza na Maofisa wa Baraza la Habari Tanzania tawi la Zanzibar kushoto Shiffa Said na Suleiman Seif walipofika katika viwanja vya baraza la Wawakilishi kuonana na Mwenyekiti huyo.  
Mwanasheria Mkuu wa Serekali ya Zanzibar Mhe.Othman Masoud, kushoto akizungumza na Mhe Ali Mzee Ali, wakati wa mapumziko wa kikao cha asubuhi kuahirishwa kwa mapumziko.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.