Habari za Punde

Super Falcon na Jamuhuri Michuano Kombe la Urafiki.

 Kocha Mkuu wa timu ya Jamuhuri Salum Bausi akifuatiliacmchezo wa  Kombe la Urafiki, akiwa katika benchi la timu yake 

 Beki wa timu ya Super Falcon akiaambaa na mpira na huku mshambuliaji wa timu ya Jamuhuriakimfuta kumzuiya.
 Mchezaji wa timu ya Jamuhuri kulia mwenye jezi ya njano na kijani akimpita beki wa timu ya Super Falcon.
 Mchezaji wa timu ya Jamuhuri akijaribu kumpita beki wa timu ya Falcon katika mchezo wa Kombe la Urafiki
Wadau wa mchezo wa mpira wakifuatilia mchezo kati ya Jamuhuri na Super Falcon uliofanyika uwanja wa Amaan.timu ya Falcon imeshinda 2-1

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.