Waziri Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Fatma Ferej, akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Zahra Hamad, wakiwa nje ya ukumbi wa Baraza baada ya kuahirishwa kikao cha Bejiti. kwa mapimziko ya mchana.
Waziri wa Afya Mhe.Juma Duni na Mwanasheria Mkuu wa Serekali wakitoka katika ukumbi wa mkutano wa baraza baada ya kuahirishwa kikao cha bajeti. kwa mapumziko ya mchana.
Mwakilishi wa Jimbo la Bumbwini Mhe.Mlinde akisisitiza jambo huku Naibu Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Mhe Issa Haji Gavu.
No comments:
Post a Comment