Habari za Punde

Wabunge Kutoka Zanzibar Watoka Bungeni baada ya Spika Kugoma Kuakhirisha Kikao



5 comments:

  1. Innalilah waina Rajuuni m/mungu awalazee mahara pema peponi Amin. na awape subira wafiwa wotee . jee jamani hii ni haki kama taifa limepata msibaa mkubwa kama huu than bunge linajadiri mambo mengine wakati mpaka raisi katangaza siku tatu JK. haya ni matesoo tu

    ReplyDelete
  2. Innalillahi wainailaihi raajiuuna,
    haya mambo ndo yanayotufanye tudai nchi yetu maana wenzetu hawana huruma
    na sisi,tukio kama hili linatokea na spika anaombwa lakini still anaonyesha roho yake mbaya na wazanzibar kama sio watu walopoteza maisha yeye anaangalia maslahi yake tu ya dunia.
    TUWACHIWE TUPUMUE.

    ReplyDelete
  3. Inallilah waina ilah rajiun jamani huu c ubinadaamu kukataa kusitisha bunge wakati wa2 wanakufa tuachweeeee tupumeeee tumechokaa mtu wenyeweee suraa kama gubiiiii asiwe na roho mbayaaaa

    ReplyDelete
  4. Hii ni ishara ya ujinga wa wasomi na wanasiasa wachache wa Tanganyika waliofilisika ambao hata ubinaadamu umewatoka. Thamani ya roho haihesabiki. Kukosa hisia ya yaliyowapata wanadamu wenzako ambao ndio waliokuwezesha wewe unaejinasibu kuwa ni Spika wa nchi inayoitwa Tanzania ni ujinga mkubwa na dharau isiyo na kipimo.

    Nadhani sasa umefika wakati wa kuvua gamba la wakorofi kama hawa. Zanzibar huru inayojitegemea ndio suluhisho la jeuri na ujinga kama huu.

    ReplyDelete
  5. Meli imezamishwa kwasababu ya Kumkomoa Hamadi Masoudi ambae ni Waziri wa Bandari ...Hii nikutokana na Msimamo wake wa Kupepea Bendera ya Tanzania ktk Meli za kampuni ya Dubai mabyo inajulikana Na USA kwamba ni meli za Irani....

    Na Serikali ya Tanganyika ilimwambia Raisi Sheni- Kupitia Kibaraka wao Balozi Seif Ali Iddi...

    waondoe mara moja Bebdera ya Tanzania ..lakini Hamadi Masoudi hakuona haja ya kufanya hivyo kwavile Zanzibar inausiano na Iran tokea karne ya 7...

    Na itafaidika kuendesha uchumi wake... Kupitia kufungamana na biashara na campuni ya Dubai ambayo mfadhili wao ni Iran....

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.