Habari za Punde

Wachezaji wa Timu ya Yanga Waondolewa Urafiki Cup

 Baadhi ya Wachezaji wa Timu ya Yanga wakiwa katika Boti ya Kilimanjaro wakirudi Mjini Dar-es-Salaam, baada ya kuondolewa katika michuano hiyo kukiuka makubaliyao na Chama cha Mpira Zanzibar kwa kuleta timu ya Kikosi cha Pili baada ya cha kwanza, ilibidi kurudishwa nyumbani baada ya kuchezo mmoja na timu ya Jamuhuri uliofanyika jana usiku uwanja wa Amaan, na timu hiyo kufungwa 3-2.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.