Habari za Punde

Mwakilishi wa Rahaleo Apiga Tavu Timu ya U-17 Mjini

Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Nassor Salim Jazira akimkabidhi shilingi 2,500,000/=  Kiongozi wa Timu ya Mkoa wa Mjini Magharibi inayoshiriki michuano ya Afrika Mashariki kwa timu za Vijana wa U-17, makabidhiano hayo yamefanyika katika moja ya Kumbi za Baraza la Wawakilishi Chukwani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.