Mkurugenzi Biashara wa Kampuni ya ZANTEL Zanzibar Mohammed Mussa, akizungumza na Waandishi wa habari kuhusu Udhamini wao kwa Tamasha la Saba la Zanzibar Music Award linalotarajiwa kufanyika tarehe 6-7-2012, katika Ukumbi wa Salama Bwawani, Kampuni ya Zantel ni Mdhamini Mkuu wa Tamasha hilo linalowashirikisha Wanamuziki wa Kizazi kipya na muziki wa Taraab.linalotayarishwa na Zanzibar Media Corporation.kulia Afisa wa Zantel Zanzibar Ibrahim Attas na Said Khamis Abdalla Meneja Masoko wa Zanzibar Media Corporation.mkutano huo unefanyika ukumbi wa Maelezo Rahaleo.
Meneja Masoko wa Zanzibar Media Corporation Said Khamis Abdalla, akifafanua jambo kujusiana na ushiriki wa wasanii katika Tunzo hizo zitakazotolewa siku ya Ijumaa kwa Wanamuziki Bora kwa Mwaka 2011, katika Ukumbi wa Salama bwawani.
No comments:
Post a Comment