Makamu wa Rais Dk.Mohammed Gharib Bilali akihutubia Mkutano wa Kumi na Sita wa Wakuu wa Nchi za Siasa ya Kutofungamana na Siasa ya Upande wowote unaomalizika leo mjini Teheran, Iran. Katika hotuba yake, pamoja na mambo mengine alisisitiza msimamo wa Tanzania kuendelea kupigania haki, kutetea wanyonge, kupinga ubeberu na ukandamizaji kote duniani, pia aliiasa Jumuiya ya Kimataifa kutatua migogoro yote kwa njia ya amani.(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
TACA YAIOMBA SERIKALI KUFANYIA MABORESHO SHERIA YA UDALALI
-
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM
CHAMA Cha Wanadishaji Tanzania TACA kimeiomba serikali kufanyia maboresho
Sheria inayowaongoza kwa lengo la kusaidia k...
4 hours ago
acha kusema uwongo dr Bilal , umri wako ni mkubwa karibu utakutana na muumba jee humuogopi? tanzania inaongoza kwa unyanyasaji wa raia na imekuwa inatawala zanzibar kwa mabavu na kuwatumia viongozi kama nyinyi kuendeleza ukoloni , vipi unaisifu serikali ya madhalimu?
ReplyDelete