Habari za Punde

Harakati za Sikukuu Bustani ya Forodhani Zenj.






Watoto wakicheza katika eneo maalum la watoto lilotengwa kwa ajili ya Pembea katika Bustani ya Forodhani ni moja ya Kivutio kwa watoto wanaofika katika bustani hiyo. hutozwa kiingilio cha shiliongi 1000/= kwa michezo yote iliomo humo. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.