Habari za Punde

Kamati Kuu ya CCM yakutana Dar

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao mcha Kamati Kuu cha CCM leo Agosti 24, 2012 jijini Dar es salaam.

1 comment:

  1. chama cha majambazi ( CCM ) wanashauriana na kubwa la maadui jinsi gani ya kuwahujumu baadhi ya wananchi , na pia jinsi gani ya kuendeleza dhuluma kwa wale wanaopinga muungano ili kuhakiki ukoloni wa tanganyika unaendelea , mtambae kama nyinyi mmekaa kufanya hila , basi na Mola wenu anatayarisha hila zake vilevile , tuone hila za nani zitakuwa na nguvu

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.