WATANZANIA WATAKIWA KUACHANA NA DHANA POTOFU KWAMBA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
NI GHARAMA
-
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umewasihi Watanzania kote nchini kuachana
na dhana ya kwamba Nishati Safi ya Kupikia ni gharama ikilinganishwa na
matumizi...
1 hour ago
chama cha majambazi ( CCM ) wanashauriana na kubwa la maadui jinsi gani ya kuwahujumu baadhi ya wananchi , na pia jinsi gani ya kuendeleza dhuluma kwa wale wanaopinga muungano ili kuhakiki ukoloni wa tanganyika unaendelea , mtambae kama nyinyi mmekaa kufanya hila , basi na Mola wenu anatayarisha hila zake vilevile , tuone hila za nani zitakuwa na nguvu
ReplyDelete