Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan ahutubia
wananchi wa majimbo ya Ilala, Segerea, Kivule na Ukonga katika uwanja wa
Kecha Kinyerezi Jijini Dar es Salaam
-
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan
akizungumza ...
11 hours ago
majambazi yanakutana kuuhami muungano , hakuna jengine bali ni kutafuta njia za kutafuta kuendeleza ukoloni na dhulma kutoka kwa watanganyika, wamevaa vikofia na vihijabu kama vile wanamuogopa Mungu kweli , kumbe wamejaa chuki na dhuluma , mwenyezi Mungu atakilaani kikao chenu hicho , na nyinyi mliopo kwenye picha mtakutana na Mola wenu kujibu masuala mazito , ibada zenu hazitosaidia , kwa kuwa Munga ameshatangaza hawapendi wenye kudhulumu
ReplyDeleteAllah ndiye mjuzi wa yote kama kikao chao ni kibaya inshaallah Allah atatulinda na atatuhifadhi na kama kikao hicho ni cha wema Allah atawaongoza na kukipa nguvu kikao chao. Amin inshaallah.
ReplyDeletedalili ya mvua ni mawingu nd JK ,usitegemee zuri lolote kwenye kikao hicho zaidi ya kupanga jinsi ya kuwahujumu wananchi wa znz kwa kutumia polisi na majeshi yaliyolaaniwa na Mungu Mtukufu na hakika adhabu kali isiyo kifani itawaangukia wote wenye nia mbaya na waznz na iada zao zote na kufuturisha watatiliwa vikapuni na Mola watupiwe usoni , tunakuomba mola utukubalie dua yetu muungano huu uwe ni kitandawili na kitu kilichopitwa ,
ReplyDelete