Makamu wa Kwanza wa Rais wa ZanzibarMaalim Seif Sharif Hamad (kulia) na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani AbeidKarume, kila mmoja akiwa na shauku ya kutaka kumweleza mwenzake chochote,walipokutana katika hoteli ya Bwawani kwa ajili ya Baraza la Eid-El-Fitri.Viongozi hawa ndio walioasisi maridhiano ya kisiasa Zanzibar na kupatikanaSerikali ya Umoja wa Kitaifa.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi Dkt Ali Mohd Shein, akiwa pamoja na viongozi wakuu wa Zanzibar naviongozi wengine kwenye viwanja vya hoteli ya Bwawani wakati wa sherehe zaBaraza la Eid-El- Fitri.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa ZanzibarMaalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na viongozi mbali mbali katika viwanjavya hoteli ya Bwawani walipokutana kwa ajili ya Baraza la Eid-El-Fitri, leotarehe 19/08/2012.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa ZanzibarMaalim Seif Sharif Hamad akibadilishana mawazo na Rais wa Zanzibar Dkt Ali MohdShein, kwenye viwanja vya hoteli ya Bwawani walipokutana kwa ajili ya Baraza laEid-El-Fitri, leo tarehe 19/08/2012. (picha, Salmin Said, OMKR).
Wadau, hii picha ya mwanzo ya Makamu wa Rais na huyu Mhe Msataafu inamaanisha jambo fulani jee mmeligundua jambo lenyewe?
ReplyDeleteJambo lenyewe ni kuwa tuachiwe tupumue.
ReplyDelete