Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Meli ya Ms Sepideh Idrisa SheheMussa, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tuhuma dhidi ya meli yao kuwa imefutiwa usajili wake na Mamlaka husika ya Usafiri wa Baharini na kukanusha tuhuma hizo siyo za kweli na kuonesha barua za kuitaka kampuni yake kufuata maelekezo ya Usafiri baharini kuuza tiketi kwa kufuata utaratibu ulioweka wa kila abiria kuwa na kitambulisho wakati wa kununu tiketi.
Mkurugenzi Mkuu akisisitriza jamboi alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa ZBC Redio Rahaleo alipokuwa akizungumza na waandishi wa vyombo mbali mbali, katika ukumbi huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Meli ya Ms Sepideh, Idrisa Shehe Mussa akiwaonesha waandishi wa habari barua walioletewa na Mamlaka ta Usafiri wa Baharuni kuitaka kampuni hiyo kufuata utaratibu wa ukataji wa tiketi kwa abiria wake kufuta sheria iliowekwa kuhakikisha abiria nakuwa na kitambulisho wakati anakata tiketi yake ya kusafiria kati ya Dar-es-Salaam na Pemba. kama zinavuosomeka barua hizo hapo juu.
No comments:
Post a Comment