Vijana wakionesha jin si ya kusakata muziki wa Kizazi Kipya wakati wa Bonaza la TIGO Zenj katika viwanja vya Mesi ya Polisi Ziwani.
Mambo ya Muziki hayoooooooooooooo kwa Staff wa Tigo Zenj.....................
Mfanyakazi wa Kampuni ya simu ya Tigo Zanzibar akionesha vitu vyake katika bonaza hilo la Wafanyakazi wa Tigo lilokuw na michezo mbalimbali iliowashirikisha Wafanyakazi katika viwnja vya Polisi Ziwani.
No comments:
Post a Comment