Habari za Punde

Dk Shein afungua Semina ya uimarishaji uhusiano baina ya viongozi wa kisiasa na kiutendaji leo

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi mbali mbali,alipowasili katika viwanja vya Ukumbi Misali Sunset Beach Hotel Wesha
Pemba,aliposhiriki katika Semina ya siku tatu kuhusu Uimarishaji uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa,iliyoanza leo,.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akiwa Mwenyekiti wa Semina ya Uimarishaji uhusiano baina ya Viongoziwa kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa,akiteta jambo na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya
Mzee,kabla ya kuifungua Semina hiyo katika Ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel leo, Wesha Pemba
 Baadhi ya Madiwani na Masheha wa Shehia mbali mbali za Pemba,wakiwa katika Semina ya siku tatu Kuhusu Uimarishaji uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa,iliyoanza leo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika Ukumbi Misali Sunset Beach Hotel Wesha Pemba
 Baadhi ya Madiwani na Masheha wa Shehia mbali mbali za Pemba,wakiwa katika Semina ya siku tatu Kuhusu Uimarishaji uhusiano baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za
Mitaa,iliyoanza leo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika Ukumbi Misali Sunset Beach Hotel Wesha Pemba
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Mwinyihaji makame Mwadini akitoa nasahha zake na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,kuifungua Semina ya siku tatu kuhusu Uimarishaji Uhusiano baina ya Viongozi wa kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa,katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel Wesha Pemba leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua Semina ya tatu kuhusu Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji
katika Serikali za Mitaa Zanzibar,katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel Wesha Pemba,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti waBaraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua Semina ya tatukuhusu Kuimarisha Uhusiano Baina ya Viongozi wa Kisiasa na Kiutendaji katika Serikali za Mitaa Zanzibar,katika ukumbi wa Misali Sunset Beach Hotel Wesha Pemba,

Picha zote na Ramadhan Othman, Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.