Habari za Punde

Kamati ya Mawasiliano na ujenzi ya Baraza la Wawakilishi yatembelea Uwanja wa Karume Pemba



MENEJA wa uwanja wa ndege wa Karume Pemba Amour Mussa, akitoa maelezo kwa wajumbe wa kamati ya Mawasiliano na ujenzi ya baraza la wawakilishi, wakati kamati hiyo ikiongozwa na Mwenyekiti wake kushoto, Hassan Hamad Omar ambae pia ni Mwakilishi wa Jimbo la Kojani ilipotembelea uwanja huo juzi (Picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.