Hapa hapiti mtu ndivyo inavyonekana akinena beki wa timu ya Malindi Khamis Ibrahim Kapenta akimzuia mshambuliaji wa timu ya Bandari Sharif Kitwana.
Wapenzi na Wanachama wa timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Grand Malt wakifuatilia mchezo kati ya Malindi na Bandari uliofanyika uwanja wa Amaan.
Mshambuliaji wa timu ya Bandari Sharif Kitwana akimiliki mpira huku beki wa timu ya Malindi Khamis Ibrahim Kapenta akijaribu kumzuia
Mchezaji wa timu ya Bandari Mohammed Hussein akiwapita mabeki wa timu ya Malindi katika mchezo wa ligi Kuu ya Grand Malt mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan timu ya Bandari imeshinda 3-2
Mshambuliaji wa timu ya Bandari Zanzibar Sharif Kitwana akimiliki mpira katika mchezo wa ligu Kuu ya Grand Malt na huku beki wa timu ya Malindi Samir Khamis akijiandaa kumzuia, timu ya Bandari imeshinda 3-2
Viongozi wa timu ya Malindi wakiwa wameduwaa baada timu yao kulala kwa mabao 3-2, katika mchezowaxLigi Kuu ya Grand Malt Zanzibar iliofanyika uwanja wa Amaan.
No comments:
Post a Comment